Skip to main content

Shopping Cart

You're getting the VIP treatment!

Item(s) unavailable for purchase
Please review your cart. You can remove the unavailable item(s) now or we'll automatically remove it at Checkout.
itemsitem
itemsitem

Recommended For You

Loading...
 • Hadithi Biblia

  Swahili Bible Stories

  series Bible for Children Everywhere
  Je! Yote ilianzaje? Tulikuja wapi? Kwa nini kuna mateso mengi duniani? Je! Kuna tumaini? Je! Kuna uzima baada ya kifo? Pata majibu unaposoma historia hii ya kweli ya ulimwengu.How did it all begin? Where did we come from? Why is there so much misery in the world? Is there any hope? Is there life after death? Find the answers as you read this true history of the world. ... Read more

  Free

 • Tuchambue Tamthilia: MSTAHIKI MEYA ya Timothy M. Arege

  Iwapo hujasoma matini ya tamthilia ya Mstahiki Meya, usisome Tuchambue Tamthilia: Mstahiki Meya.Hiki ni kitabu cha bure cha kuwasaidia wanafunzi ambao wana haja. Ni zawadi kwako kwa bidii yako.Unaposoma na kuchabua yaweke mawazo yako na maoni yako wazi na huru ... Read more

  Free

 • Maono Niliyoona

  Maono-1(TETEMEKO NA VOLKANO)Mwaka 2017, niliona maono ya kutisha. Maono yalianza kama ndoto wakati nimelala kitandani na nilipoamka bado maono hayo yaliendelea nikiwa macho na akili zangu timamu. Katika maono hayo niliona kama mlipuko wa volkano kubwa iliyochanganyikana na tetemeko ndani yake. Niliona watu na milima wakiinuliwa juu na kurudishwa chini kiasi cha kutengeneza mzunguko kama vile mtu ... Read more

  Free

 • NDOA YA MFANO

  Nakupenda naomba usinikwaze

  by Albert Sanga ...
  Kila mahali kuanzia makanisani, misikitini na mitaani ndoa zimeendelea kuonekana ni pasua kichwa hatari. Wengine wamefika mahala kuamini kwamba hakuna uwezekano wa kua na ndoa salama. Kitabu hiki kinaeleza namna ya kua na ndoa ya mfano. ... Read more

  Free

 • Maneno na Aina za Maneno

  Maneno na Aina za Maneno ni kitabu ambacho kimedhamiriwa wasomi wenye haja ya kutafiti na kukielewa Kiswahili vyema zaidi. Hebu nao wachangie. ... Read more

  Free

 • Vachayeri va mbhongholo

  Leyi i buku ya switlhokovetselo swa Xitsonga. Vatsari va tsarile buku leyi ku ta hlohlotela vantshwa no dyondzisa dyondzo ya vutomi. Buku leyi yi rhwele switlhokovetselo swo hambanahambana leswi nga na dyondzo yo pfula mahlo ya muhlayi. Tibuku to tanihi leti ta ha ta landzela, lowu i ntirho wo hlayisa no kurisa ririmi rerhu. Hi tlangela vantshwa va 1976 hi vutlhokovetseri. Xana wena u va tlangela ... Read more

  Free

 • Fasihi Simulizi: Kwa Shule Za Sekondari

  Kitabu cha Fasihi Simulizi kimetungwa kwa wanafunzi wa shule za sekondari ili kuwasaidia kujiandaa kwa mtihani wa kitaifa wa kidato cha nne (K.C.S.E.).katika somo la Kiswahili hususan Fasihi Simulizi. ... Read more

  Free

 • Ijue, Dhiki Kuu na Unyakuo wa Watakatifu

  Watu wa Mungu wanatakiwa kujua majira na wakati sahihi wa unyakuo na saa ya kurudi kwa Bwana Yesu kulichukua kanisa na kukusanyika mbele zake na kukaa katika makao yetu ya milele. Nimeandika kitabu hikio kuwasaidia watu wa Mungu kujua tupo katika majira gani ya kanisa ili waweze kujiandaa kwa ajili ya tukio hili kubwa litakalotokea muda wowote kuanzia sasa. Maandiko matakatifu yanasema kama mtu ... Read more

  Free

 • ASEMAVYO SANGA Vol 5

  Makala za mwandishi kutoka magazeti ya RAI, TAZAMA, JAMHURI na MKAKATI, 2007 Hadi 2018

  by Albert Sanga ...
  series JAMHURI na MKAKATI, 2007-2018.
  Kwa miaka takribani kumi, mwandishi alikua mwandishi wa safu za ASEMAVYO SANAGA na ANGA ZA BIASHARA na UCHUMI, katika magazeti ya RAI, TAZAMA, MKAKATI na JAMHURI. Asilimia tisini na tano ya makala zilijikita katika masuala ya biashara, ujasiriamali na uchumi. Asilimia inayobaki zilikua ni masuala ya ndoa na familia. Makala hizi zimekusanywa na kusanifiwa upya katika mfululizo wa vitabu viitwavyo ... Read more

  Free

 • Siri ya Dhabihu

  Kila unapotoa sadaka yako iwe kwa yatima, wajane, kanisani au sadaka yoyote Yesu anakuwepo kusimamia mwenyewe binafsi bila kumtuma mtu kuhakikisha njinsi unavyotoa na kutumia sadaka yako kuyasoma na kufafanua maisha yako. Kumbuka kazi zingine alikuwa anawatuma wanafunzi wake kumwakilisha na mifano ipo mingi; alipotaka wakahubiri injili aliwatuma wawili wawili yeye akabaki mjini; alipotaka fedha ya ... Read more

  Free

 • Waathirika.

  by Dave Mckay ...
  Ni nyakati za giza kuu ulimwenguni. Maafa na maasi yanatisha kuharibu Dunia. Lakini idadi chache ya wateule wanaoamini wanakuwa viongozi baada ya mabadiliko yaliyo tikisa ulimwengu kufuatia mageuzi na kuwepo imani na upendo. Riwaya hii, inayozingatia utabiri halisi ulio kwenye Bibilia, itafanya mengi zaidi na kuburudisha, kuvutia, kushangaza, na zaidi kukushawishi. Itakupatia changamoto ya ... Read more

  Free

 • ALINIAMBIA

  (KITABU CHA MASHAIRI)

  BAADHI YA MAONI YA WASOMAJI"Mashairi yenu ni mazuri sana na yanaonyesha kuwa mna vipaji vingi. Una njia isiyo ya kawaida na hakuna shaka kwamba kutokana na matibabu sahihi, lazima kuwe na mahitaji fulani ya kitabu."Excalibur Press ya London (Uingereza)"Kishairi mashairi yako yana ubora wa muziki, na yatakuwa mazuri kama maandishi ya nyimbo.""Agano la Mpenzi""Inaonekana kama wimbo wa melancholic. ... Read more

  Free