Skip to main content

Shopping Cart

You're getting the VIP treatment!

Item(s) unavailable for purchase
Please review your cart. You can remove the unavailable item(s) now or we'll automatically remove it at Checkout.
itemsitem
itemsitem

Recommended For You

Loading...

Religion & Spirituality eBooks

If you like Religion & Spirituality eBooks, then you'll love these top picks.
Showing 1 - 24 of 142 Results
Skip side bar filters
  • Kitabu cha Sherehe

    Usiku mmoja, wakati akiwa ni mwanafunzi wa utabibu katika mji mmoja huko Ghana, katika hali ya mwujiza Mungu alimpaka mafuta Dag Heward-Mills wakati alipokuwa akimsubiri Bwana. Alipakwa mafuta kwa namna isiyo ya kawaida na kusikia maneno, “Tangu sasa na kuendelea unaweza kufundisha…” Wito huu usio wa kawaida ndio uliomwongoza kwenye huduma iliyosambaa duniani kote. ... Read more

    $12.50 USD or Free with Kobo Plus

  • Kitabu Cha Mistari Ya Bibilia Ya Kukari

    Usiku mmoja, wakati akiwa ni mwanafunzi wa utabibu katika mji mmoja huko Ghana, katika hali ya mwujiza Mungu alimpaka mafuta Dag Heward-Mills wakati alipokuwa akimsubiri Bwana. Alipakwa mafuta kwa namna isiyo ya kawaida na kusikia maneno, “Tangu sasa na kuendelea unaweza kufundisha…” Wito huu usio wa kawaida ndio uliomwongoza kwenye huduma iliyosambaa duniani kote. ... Read more

    $2.50 USD or Free with Kobo Plus

  • Hatua Za Kufikia Upako

    Unatamani kuwa mpakwa mafuta? Katika kitabu hiki cha kihistoria, Dkt Dag Heward-Mills anagawa hatua kadhaa za hadi kupokea upako. Kitabu hiki kwa hakika kitakuwa cha baraka kwako na utumishi wako. Gundua hatua unazohitaji kuchukua ili uwe mpakwa mafuta. ... Read more

    $8.00 USD or Free with Kobo Plus

  • Jinsi Unavyoweza Kuhubiri Kuhusu Ukombozi

    Dag Heward-Mills ni mwandishi wa vitabu vingi, ikiwemo kitabu kinachouzwa sana "Uaminifu na Ukosefu wa Uaminifu". Yeye ni mwanzilishi wa dhehebu lenye makanisa zaidi ya elfu moja linaloitwa "The Lighthouse Chapel International". (Kanisa la Kimataifa la Lighthouse). Dag Heward-Mills, mwinjilisti wa kimataifa huhudumu katika Mkutano wa Injili wa Kimataifa na Yesu Mponyaji na mikutano duniani kote. ... Read more

    $25.00 USD or Free with Kobo Plus

  • Ijue, Dhiki Kuu na Unyakuo wa Watakatifu

    Watu wa Mungu wanatakiwa kujua majira na wakati sahihi wa unyakuo na saa ya kurudi kwa Bwana Yesu kulichukua kanisa na kukusanyika mbele zake na kukaa katika makao yetu ya milele. Nimeandika kitabu hikio kuwasaidia watu wa Mungu kujua tupo katika majira gani ya kanisa ili waweze kujiandaa kwa ajili ya tukio hili kubwa litakalotokea muda wowote kuanzia sasa. Maandiko matakatifu yanasema kama mtu ... Read more

    Free

  • Maono Niliyoona

    Maono-1(TETEMEKO NA VOLKANO)Mwaka 2017, niliona maono ya kutisha. Maono yalianza kama ndoto wakati nimelala kitandani na nilipoamka bado maono hayo yaliendelea nikiwa macho na akili zangu timamu. Katika maono hayo niliona kama mlipuko wa volkano kubwa iliyochanganyikana na tetemeko ndani yake. Niliona watu na milima wakiinuliwa juu na kurudishwa chini kiasi cha kutengeneza mzunguko kama vile mtu ... Read more

    Free

  • Mungu Mwana, Kitabu cha Mwanafunzi

    Capstone Module 10, Swahili Student Workbook

    Utambulisho wa Yesu wa Nazareti na kazi yake bila shaka ni somo muhimu zaidi katika tafakari na huduma zote za Kikristo. Ni ukweli usiopingika kwamba haiwezekani kuhudumu katika Jina la Bwana Yesu Kristo ikiwa huduma hiyo imejengwa juu ya maoni na mitazamo potofu na ya aibu kuhusu yeye alikuwa nani (na ni nani), maisha yake yalimaanisha nini, na vile tunavyopaswa kumchukulia leo. Kuwa na ufahamu ... Read more

    $10.00 USD or Free with Kobo Plus

  • Kusamehe Kumerahisishwa

    Dag Heward-Mills ni mwandishi wa vitabu vingi, ikiwemo kitabu kinachouzwa sana "Uaminifu na Ukosefu wa Uaminifu". Yeye ni mwanzilishi wa dhehebu lenye makanisa zaidi ya elfu moja linaloitwa "The Lighthouse Chapel International". (Kanisa la Kimataifa la Lighthouse). Dag Heward-Mills, mwinjilisti wa kimataifa huhudumu katika Mkutano wa Injili wa Kimataifa na Yesu Mponyaji na mikutano duniani kote. ... Read more

    $2.50 USD or Free with Kobo Plus

  • Ufanisi Kubwa zaidi 14 (2-3) MAAJABU SIRI na Mikakati YA UFALME WA Giza katika Mabara Saba 7 Yenye

    Vipimo Vinavyoweza Kutumika Mahali pa Maombi na Matendo ya Kinabii. - Umezaliwa kwa Hii - Uponyaji, Ukombozi na Urejesho - Mfululizo wa Kuandaa

    Series Book 14 - Ufanisi Kubwa zaidi
    Mafanikio Makuu 14 (2-3) ni muendelezo wa Mafanikio Makuu 13 yenye maelezo zaidi, yanayolenga SIRI ZA SIRI na Mikakati ya UFALME WA Giza katika Mabara Saba (7) Yenye Vizuizi Vinavyoweza Kutumiwa Mahali pa Maombi na Matendo ya Kinabii na Rony Chaves, Dr. C. Peter Wagner, Cindy Jacobs, John D. Robb, Ana Mendez-Ferrell, J.P. TIMMONS na Amb. Jumatatu O. Ogbe, Watumishi hawa wa Bwana wametumiwa sana ... Read more

    $12.99 USD

  • Waitwao ni Wengi

    Kwa kweli Mungu amewaita watu wengi. Maisha yetu duniani ni fursa ya kumtumikia, na Mungu anaangalia vitu unavyofanya kwa ajili ya Ufalme wake. Kitabu hiki kinachagamsha usomaji. Ukihifadhi akilini mawazo ya ukweli yaliyoandikwa na mwandishi, utapokea hekima kutumia fursa ya maisha yako kwa njia sahihi. ... Read more

    $10.00 USD or Free with Kobo Plus

  • WHOSE IMAGE ARE YOU? - Showing you how to obtain real deliverance, peace and progress in your life, without unnecessary struggles - SWAHILI EDITION

    School of the Holy Spirit Series 2 of 12

    Series Book 2 - Holy Ghost School Book Series
    WEWE NI TASWIRA YA NANI? Kukuonyesha jinsi ya kupata ukombozi wa kweli, amani na maendeleo katika maisha yako, bila matatizo yasiyo ya lazima - NEW ENGLISH EDITIONwaBwana Mungu anataka tujue kwamba kuna uponyaji na ukombozi kamili katika jina la Yesu na kwa damu yake. Kuna amani kubwa, furaha, maendeleo, mafanikio, marejesho kwa watu wa Mungu.Lakini namna tunavyoendelea kutafuta vitu hivi ... Read more

    $4.99 USD or Free with Kobo Plus

  • Siri za Ushindi

    Dag Heward-Mills ni mwandishi wa vitabu vingi, ikiwemo kitabu kinachouzwa sana "Uaminifu na Ukosefu wa Uaminifu". Yeye ni mwanzilishi wa dhehebu lenye makanisa zaidi ya elfu moja linaloitwa "The Lighthouse Chapel International". (Kanisa la Kimataifa la Lighthouse). Dag Heward-Mills, mwinjilisti wa kimataifa huhudumu katika Mkutano wa Injili wa Kimataifa na Yesu Mponyaji na mikutano duniani kote. ... Read more

    $10.00 USD or Free with Kobo Plus

  • Mungu Wa Ajabu

    by André Cronje ...
    Translated by Winirop ...
    Mungu wa Ajabu: Ni utukufu wa wafalme kutafuta siri za dunia na kupata siri za ufalme wa Mungu. Dunia yote imejaa utukufu wake, na viumbe vyote vinapaaza sauti vikitaja jina lake kwa sifa na kuabudu. Mungu wa Ajabu imejaa mashairi na sifa ili kuhamasisha imani yako na mkusanyiko wa mawazo. Kama vile mtunga-zaburi alivyosema, ulimi wangu ni ule wa mwandishi aliye tayari kumpa ukuu mfalme wangu. ... Read more

    $1.68 USD or Free with Kobo Plus

  • Mastaajabu ya Nguvu za Kubariki (Second edition)

    Kubariki ni kunena makusudio au fadhila ya Mungu kwa mtu au hali fulani.Tunapofanya hivyo katika imani, tunachochea nguvu za Mungu kubadilisha mtu (pamoja na sisi) tukiwemo au hali, kutoka alipo sasa hadi anapotaka Mungu awe.Kila Mkristo ana mamlaka na nguvu ya kuwabariki wengine katika jina la Bwana na kuona maisha na hali ikibadilika. Nguvu za baraka ni za mwujiza; ni uwepo na kazi ya Roho ... Read more

    $2.95 USD

  • Wajue Maadui Zako Wasioonekana…

    Dag Heward-Mills ni mwandishi wa vitabu vingi, ikiwemo kitabu kinachouzwa sana "Uaminifu na Ukosefu wa Uaminifu". Yeye ni mwanzilishi wa dhehebu lenye makanisa zaidi ya elfu moja linaloitwa "The Lighthouse Chapel International". (Kanisa la Kimataifa la Lighthouse). Dag Heward-Mills, mwinjilisti wa kimataifa huhudumu katika Mkutano wa Injili wa Kimataifa na Yesu Mponyaji na mikutano duniani kote. ... Read more

    $10.00 USD or Free with Kobo Plus

  • Uanzishaji Wa Imani

    Taasisi ya mafunzo ya Isaya 58

    Foundations of Faith translated in Swahili is a simplified, concise discipleship plan that builds a firm foundation in individuals, families and congregations. It is written in readable and understandable language for everyone including those who read English as a second language. Since 1954, All Nations International has used this curriculum to train men and women in the principles of Isaiah 58 ... Read more

    $2.99 USD or Free with Kobo Plus

  • Mwanzo

    Kitabu cha Mianzo

    Kristo alipoulizwa maswali, mara nyingi aliwarudisha watu mwanzo, kwenye asili ya mpango wa Baba yetu wa Mbinguni kwa ajili ya uumbaji Wake. Katika ufafanuzi wake wa kitabu cha Mwanzo, Dkt. Bailey anaonyesha jinsi ilivyo muhimu kuelewa makusudio ya Mungu tangu mwanzo ili kuelewa mpango wa Mungu kwa wanadamu pamoja na kweli nyingi za kiroho zinazohusiana na maisha ya mwamini leo. ... Read more

    $4.99 USD or Free with Kobo Plus

  • Eneza Huduma Yako Kwa Miujiza na Udhihirishaji wa Roho Mtakatifu

    Je, nguvu zisizo kawada zipo hadi leo? Je, naweza kufanya mambo kupitia nguvu hiyo isio ya kawaida? Je, kama Mungu bado anawaponya watu, kwa nini hamponyi kila Mtu? Nawezaje kupata au kupokea upako wa uponyaji? Gundua majibu juu ya maswali haya na megnine mengi juu ya udhihirisho wa Roho Mtakatifu kupitia kurasa za kitabu hiki chenye kusisimua kilichoandikwa na Dag Heward-Mills. ... Read more

    $10.00 USD or Free with Kobo Plus

  • Fight the Good Fight of Faith (Swahili Edition, DRC)

    Playing Your Part in God's Unfolding Drama

    This practical, helpful resource is especially designed to help new and growing Christians become effective disciples/warriors of Christ, and is built entirely on the Story of God as told in the Scriptures. Following the thematic outline of Ephesians, this lesson guide helps believers understand what the Bible says about the key dimensions of our participation in God’s grand Story in nine ... Read more

    $7.99 USD

  • Sayansi ya Kupata utajiri

    Hiki kitabu kitakufundisha sayansi ya jinsi ya kupata utajiriSayansi ya kupata utajiri ni kitabu ambacho kimeleta matokeo ya kifedha ya kustaajabisha kwa baadhi ya watu mashuhuri katika dunia ya magharibi. Kinaweza kulinganishwa na vitabu kama The Master Key System cha Charles F. Haanel (1912), Think and Grow Rich cha Napoleon Hill (1937) na vingine vichache. Lakini kipo katika kikundi cha kipekee ... Read more

    $3.99 USD or Free with Kobo Plus

  • Roho Mtakatifu

    by Ninah Shali ...
    Kwa mtu anayesoma ujumbe huu, wewe ni muhimu sana kwa Mungu na ulimwengu mzima. Je, inaonekana kana kwamba chochote unachofanya maishani, huwezi kupata matokeo unayotaka? Je, unatafuta majibu katika sehemu mbalimbali za maisha yako? Inaweza kuwa ya kiroho, kihisia, kisaikolojia, kijamii, kiuchumi, kitaaluma au afya.Unaposoma kitabu hiki, amini kwamba utatambua suluhu la kudumu kwa(za) changamoto ... Read more

    $10.00 USD or Free with Kobo Plus

  • Soma Biblia Yako, Omba Kila Siku ...Ukitaka kukua

    Dag Heward-Mills ni mwandishi wa vitabu vingi, ikiwemo kitabu kinachouzwa sana "Uaminifu na Ukosefu wa Uaminifu". Yeye ni mwanzilishi wa dhehebu lenye makanisa zaidi ya elfu moja linaloitwa "The Lighthouse Chapel International". (Kanisa la Kimataifa la Lighthouse). Dag Heward-Mills, mwinjilisti wa kimataifa huhudumu katika Mkutano wa Injili wa Kimataifa na Yesu Mponyaji na mikutano duniani kote. ... Read more

    $8.00 USD or Free with Kobo Plus

  • Kuanzisha Kanisa

    Upandaji makanisa ni jambo la kiajabu ambalo limeenea kati ya watumishi wenye haiba. Ilikuwa shughuli kuu ya wafuasi wa kale. Upandaji kanisa uliofaulu, hata hivyo, unadai ujuzi na unakumbatia sababu nyingi. Dag Heward-Mills anachambua vipengeleze mbalimbali vya upandaji kanisa katika kitabu hiki. Ni mwongozo wa mafunzo kwa kila mtumishi ambaye anataka kufanya upandaji kanisa ono lake la kimaisha. ... Read more

    $10.00 USD or Free with Kobo Plus

  • Siri ya Kifo

    Hiki kitabu Siri ya Kifo ni sehemu ya kazi kubwa ambayo awali iliandikwa kwa ajili ya Kanisa linalo zungumza Kiswahili. Inachungua kwa kina dhana ya kifo, kuwa siyo mwisho wa yote. Na kama vile jambo la kushangaza kwa jinsi inavyo eleweka na wengi, kwamba kifo ni tukio ambalo kiutabibu linasababishwa na ubongo kukoma utendaji wake, lakini ndani humu tutakuonyesha kifo kuwa ni roho hai.Tutaifanyia ... Read more

    $4.99 USD or Free with Kobo Plus