「"don davis"」の検索結果を表示
1 ~ 12 (12 件)
成人向けコンテンツが表示されています。
Fight the Good Fight of Faith (Swahili Edition, East Africa)
Playing Your Part in God's Unfolding Drama
2019
EN
This practical, helpful resource is especially designed to help new and growing Christians become effective disciples/warriors of Christ, and is built entirely on the Story of God as told in the Scriptures. Following the thematic outline of Ephesians, this lesson guide helps believers understand what the Bible says about the key dimensions of our participation in God’s grand Story in nine integrated lessons. These studies lay out the key elements in how we fulfill our role in God’s Story, ...
1,344 円
Mungu Mwana, Mwongozo wa Mkufunzi
Capstone Module 10, Swahili Mentor Guide
2024
SW
Utambulisho wa Yesu wa Nazareti na kazi yake bila shaka ni somo muhimu zaidi katika tafakari na huduma zote za Kikristo. Ni ukweli usiopingika kwamba haiwezekani kuhudumu katika Jina la Bwana Yesu Kristo ikiwa huduma hiyo imejengwa juu ya maoni na mitazamo potofu na ya aibu kuhusu yeye alikuwa nani (na ni nani), maisha yake yalimaanisha nini, na vile tunavyopaswa kumchukulia leo. Kuwa na ufahamu sahihi juu ya maisha yake, kifo chake, ufufuo wake, kupaa kwake, na kurudi kwake ndio msingi wa...
1,683 円
Mungu Baba, Kitabu cha Mwanafunzi
Capstone Module 6, Swahili Student Workbook
2024
SW
Fundisho la nafsi ya Mungu wetu, Baba Mwenyezi, ni mojawapo ya mafundisho ya Neno la Mungu yaliyo muhimu na yenye utajiri mwingi zaidi. Linaathiri kila sehemu ya ufuasi wetu, ibada, na huduma; kama Bwana wetu Yesu alivyosema, “Uzima wa milele ndio huu, wakujue wewe, Mungu wa pekee wa kweli, na Yesu Kristo uliyemtuma” (Yohana 17:3).Moduli hii inashughulikia kwa upana kategoria za utaratibu za elimu ya “theolojia sahihi.” Tutaanza kwa kufafanua dhana za ufunuo wa jumla na ufunuo maal...
1,683 円
Theolojia Katika Picha
Picturing Theology, Swahili Edition
2024
SW
Katika mkusanyo huu wa vielelezo na michoro, Dk. Davis anatoa mkusanyo wa picha uliojaa ufahamu ili kumsaidia mwanafunzi wa Bible na theolojia kuchunguza maana za dhana nyingi ngumu za Maandiko. Anasema katika Utangulizi, “Ingawa mchoro wakati mwingine unaweza kutolewa kama kibadala duni cha maelezo fasaha ya hoja kuhusu wazo au dhana, tamathali za semi, michoro, au alama nzuri, mara nyingi unaweza kuwa zana ya kutusaidia kupata ufahamu bora zaidi wa fumbo au siri fulani.. . . . Manabii na...
1,683 円
Fight the Good Fight of Faith (Swahili Edition, DRC)
Playing Your Part in God's Unfolding Drama
2019
SW
This practical, helpful resource is especially designed to help new and growing Christians become effective disciples/warriors of Christ, and is built entirely on the Story of God as told in the Scriptures. Following the thematic outline of Ephesians, this lesson guide helps believers understand what the Bible says about the key dimensions of our participation in God’s grand Story in nine integrated lessons. These studies lay out the key elements in how we fulfill our role in God’s Story, ...
1,344 円
Kutafsiri Biblia, Kitabu cha Mwanafunzi
Capstone Module 5, Swahili Student Workbook
2024
SW
Kulingana na ushahidi wa wazi wa maandiko yenyewe, Mungu huwaandaa wawakilishi wake kupitia Neno la Mungu lililopuliziwa na Roho, Maandiko. Kila mtu ambaye Mungu anamwita katika huduma lazima adhamirie kujinidhamisha ili aweze kuwa mahiri katika Neno, kutii maagizo ya Neno, na kufundisha kweli ya Neno la Mungu. Kama mtenda kazi, lazima ajitahidi kutumia kwa halali Neno la kweli, na hivyo kukubaliwa na Bwana katika jitihada zake za kujifunza (2 Tim. 2:15).Katika kozi hii tunaangazia...
1,683 円
Mtaala wa Cornerstone, Kitabu cha Mwanafunzi
Cornerstone Curriculum, Swahili Student Workbook
2024
SW
Mtaala wa Cornerstone ni mafunzo ya hali ya juu kwa viongozi wa Kikristo ambao huenda wasihitaji au wasiwe na muda wa kupata mafunzo ambayo huchukua miaka kadhaa. Mtaala huu unatoa maarifa na ujuzi kuhusu uongozi wa Kikristo katika muundo mfupi. Mafunzo haya bora yanajumuisha sehemu kuu tatu.
1,683 円
Mungu Mwana, Kitabu cha Mwanafunzi
Capstone Module 10, Swahili Student Workbook
2024
SW
Utambulisho wa Yesu wa Nazareti na kazi yake bila shaka ni somo muhimu zaidi katika tafakari na huduma zote za Kikristo. Ni ukweli usiopingika kwamba haiwezekani kuhudumu katika Jina la Bwana Yesu Kristo ikiwa huduma hiyo imejengwa juu ya maoni na mitazamo potofu na ya aibu kuhusu yeye alikuwa nani (na ni nani), maisha yake yalimaanisha nini, na vile tunavyopaswa kumchukulia leo. Kuwa na ufahamu sahihi juu ya maisha yake, kifo chake, ufufuo wake, kupaa kwake, na kurudi kwake ndio msingi wa...
1,683 円
Uongofu na Wito, Kitabu cha Mwanafunzi
Capstone Module 1, Swahili Student Workbook
2025
SW
Bila shaka, nyenzo ya kiroho yenye nguvu zaidi katika Kanisa ni Neno la Mungu lililovuviwa na Roho Mtakatifu, Maandiko Matakatifu. Kama wanafunzi wa Yesu Kristo, tunathibitisha imani yetu ya kina juu ya nguvu za Neno la Mungu katika kuumba, kuthibitisha, kugeuza na kuita. Ili kuelewa baraka ya ajabu ya uongofu na wito, tutahitaji kutathmini kwa kina nafasi ya Neno la Mungu katika Kanisa.Moduli hii inaangazia nguvu ya Neno la Mungu kuwageuza waliopotea na kuwalinda walioitwa katika ...
1,683 円
Uongofu na Wito, Mwongozo wa Mkufunzi
Capstone Module 1, Swahili Mentor Guide
2025
SW
Bila shaka, nyenzo ya kiroho yenye nguvu zaidi katika Kanisa ni Neno la Mungu lililovuviwa na Roho Mtakatifu, Maandiko Matakatifu. Kama wanafunzi wa Yesu Kristo, tunathibitisha imani yetu ya kina juu ya nguvu za Neno la Mungu katika kuumba, kuthibitisha, kugeuza na kuita. Ili kuelewa baraka ya ajabu ya uongofu na wito, tutahitaji kutathmini kwa kina nafasi ya Neno la Mungu katika Kanisa.Moduli hii inaangazia nguvu ya Neno la Mungu kuwageuza waliopotea na kuwalinda walioitwa katika ...
1,683 円
Mungu Baba, Mwongozo wa Mkufunzi
Capstone Module 6, Swahili Mentor Guide
2024
SW
Fundisho la nafsi ya Mungu wetu, Baba Mwenyezi, ni mojawapo ya mafundisho ya Neno la Mungu yaliyo muhimu na yenye utajiri mwingi zaidi. Linaathiri kila sehemu ya ufuasi wetu, ibada, na huduma; kama Bwana wetu Yesu alivyosema, “Uzima wa milele ndio huu, wakujue wewe, Mungu wa pekee wa kweli, na Yesu Kristo uliyemtuma” (Yohana 17:3).Moduli hii inashughulikia kwa upana kategoria za utaratibu za elimu ya “theolojia sahihi.” Tutaanza kwa kufafanua dhana za ufunuo wa jumla na ufunuo maal...
1,683 円
Kutafsiri Biblia, Mwongozo wa Mkufunzi
Capstone Module 5, Swahili Mentor Guide