Skip to main content

Carrinho

Você está recebendo o tratamento VIP!

Item(ns) indisponível(is) para compra
Verifique seu carrinho. Você pode remover os itens indisponíveis agora ou os removeremos na finalização de compra.
itensitem
itensitem

Recomendados para você

Loading...

eBooks sobre Sucesso

Se você gosta de eBooks sobre Sucesso, certamente vai adorar estas sugestões.
Mostrando 1 - 8 de 8 resultados
Skip side bar filters
  • Wakae Pamoja kwa Umoja

    Kitabu hiki kinahusu Umoja kiBiblia; maana ya umoja, chanzo chake, umuhimu wa umoja, mambo yanayovunja umoja, jinsi ya kutengeneza umoja n.k.Lengo ni kusaidia Wakristo kuelewa umuhimu wa umoja ili kubadilisha maisha yetu kiroho na kimwili kuweza kupokea baraka zote tulizokirimiwa katika Kristo Yesu. Kisome ukielewe na kuwafundisha wengine. Kitabu hiki ni muhimu sana kwa kila Mkristo lakini hasa ... Leia mais

    R$ 16,99

  • Vile Unavyopaswa Kuwa: kujitambua na kuchukua hatua

    Kujitambua, #1

    Séries Livros: 1 - Kujitambua
    Vile unavyopaswa kuwa ni kitabu kuhusu mabadiliko chanya katika maisha. Kitabu kinakumbusha kwamba haturithi tabia zote. Kila mmoja ana silika zaidi ya moja na zaidi ya hayo, kila mmoja ana saa 24 tu katika siku. Kwa kutumia tafiti mbalimbali, nukuu za wenye hekima na za Biblia na mifano halisi, kitabu kinaonesha jinsi kila mtu anavyoweza kujitambua na kuchukua hatua. Kwa kuzingatia mashauri ... Leia mais

    R$ 20,99

  • Upako wa Kupata Utajiri

    Nguvu ya Mkristo kufanya lo lote afanyalo hutoka kwa Bwana. Hii nguvu ni Roho wa Mungu ambayo pia hujulikana kama Mkono wa Bwana au Roho Mtakatifu na katika Biblia huwakilishwa kwa picha ya mafuta, yaani upako. Hivyo Kumbukumbu la Torati 8:18 inavyosema "Bali utamkumbuka Bwana, Mungu wako, maana ndiye akupaye nguvu za kupata utajiri; ili alifanye imara agano lake alilowapa baba zako, kama hivi leo ... Leia mais

    R$ 16,99

  • Jinsi ya Kufikiri na AI

    Msaada wa Kuzidisha Nguvu kwa Watu Kama Sisi

    The Art of War kilifundisha mkakati. The War of Art kilifundisha nidhamu. Kitabu hiki kinafundisha leverage.Unakufa. Muda wako ni mfupi. Na bado unajisumbua kufanya mambo kwa njia ngumu.How to Think with AI si tutorial, wala si mwongozo wa prompt. Ni field manual ya zama mpya—ambapo kikwazo kikubwa si teknolojia. Kikwazo ni wewe.Cassandra Alexander ni muuguzi wa ICU, mwandishi wa vitabu zaidi ya ... Leia mais

    R$ 19,00

  • Kanuni ya Siri ya Mafanikio

    Maisha ni safari ya kulitafuta na kulifikia kusudi la uwepo wetu katika sayari ya dunia. Mafanikio ni matokeo ya kuishi na kutembea katika kusudi la uwepo wetu hapa duniani. Kulitambua kusudi hilo ndilo jambo la kwanza lakini jambo la pili ni kuzifahamu kanuni za siri zinazowaongoza wanadamu kulifikia kusudi. Kutokuzifahamu kanuni hizo hufanya watu wengi kuyaendea maisha kwa mashaka bila kuwa na ... Leia mais

    R$ 28,99

  • Sheria 10 Za Ushawishi

    de Erick Mbeleka ...
    Moja ya ujuzi mkubwa unaotakiwa kuwa nao ni nguvu ya ushawishi kwa sababu chochote unachokitaka katika Maisha yako kinapatikana kwa watu na njia rahisi ili upate unahitaji uwezo wa kuwashawishi ili wakupe.Mungu ameweka mambo mengi unayoyaomba kwa Watu jambo usilolijua endapo utaacha kujifunza kuweza kushawishi watu wakupe unachotaka au kutamani utakuwa mtu wa kulalamika kwanini kuna mambo Upati ... Leia mais

    R$ 41,99

  • Kwa Nini Nimechanganyikiwa Kuhusu Malengo Yangu?

    Jifunze Kujiamini na Kuelewa Kinachojali Zaidi

    Traduzido por Inkwell Press ...
    Katika dunia yenye chaguzi nyingi na matarajio kutoka kwa wengine, wengi wetu tunajikuta tukiwa tumepotea na tukiwa na mashaka kuhusu malengo yetu. Kwa Nini Nimechanganyikiwa Kuhusu Malengo Yangu? ni mwongozo wa kubadilisha maisha ambao unachunguza chanzo cha mkanganyiko huu na kukusaidia kuelekeza fikra zako kuelekea kile unachotamani na kutaka kufanikisha.Kupitia uzoefu wa binafsi na mbinu ... Leia mais

    R$ 34,90

  • Nidhamu ya Ndoto

    de Ken Haych ...
    Una ndoto kubwa? Swali ni hili... Je, una nidhamu ya kuitimiza?Watu wengi wana ndoto ya kua na maisha bora.Maisha yenye mafanikio zaidi.Pesa zaidi. Amani zaidi. Uhuru zaidi.Lakini ndoto pekee hazibadilishi maisha.Kinachobadilisha maisha ni nidhamu.Nidhamu ya Ndoto ni mwito wa uamsho kwa mtu yeyote ambaye amechoshwa na kuahirisha mambo, kupoteza muda, kuishi chini ya uwezo wake, au kutazama maisha ... Leia mais

    R$ 35,99

    Pré-venda