Skip to main content

Carrito de compra

¡Obtienes el tratamiento VIP!

Artículos no disponibles para compra.
Por favor revisa tu carrito. Puedes eliminar los artículos no disponibles ahora o los eliminaremos nosotros automáticamente al momento de pagar.
artículosartículo
artículosartículo

Recomendado para ti

Loading...
Descubre nuestras recomendaciones
Descubre nuestras recomendaciones
Descubre nuestras recomendaciones
  • Babylon the Great - Swahili Edition

    Mtazamo Wa Ibada Katika Ushawishi Wa Babeli Katika Kufunuliwa Kwa Kusudi La Mungu Duniani

    Babeli KuuMtazamo Wa Ibada Katika Ushawishi Wa Babeli Katika Kufunuliwa Kwa Kusudi La Mungu DunianiEneo la Babiloni lina jukumu muhimu katika Biblia. Kuna vidokezo vya taifa hili kuu kutoka Mwanzo hadi Ufunuo. Ni zaidi ya taifa adui wa taifa la Kiyahudi la Agano la Kale, hata hivyo. Babeli imekuja kuwakilisha adui mkubwa zaidi na mwenye hila zaidi ambaye anaendelea kuwafanya waamini kukwazwa hata ... Leer más

    $34 MXN

  • Gatekeepers of the Temple - Swahili Edition

    Tathimini Ya Mchango Wa Mlinda Lango Katika Hekalula Agano La Kale Na Mafundisho Yake Kwenye Maisha Ya Ukristo Leo

    Walinzi Wa Lango La HekaluTathimini Ya Mchango Wa Mlinda Lango Katika Hekalula Agano La Kale Na Mafundisho Yake Kwenye Maisha Ya Ukristo LeoMara nyingi bila kutambuliwa, walinzi wa Agano la Kale walilinda hekalu kutokana na kitu chochote kichafu, wakisimamia mambo ya kifedha kwa uaminifu na kudumisha mali ya hekalu. Walikuwa sehemu muhimu ya ibada ya Agano la Kale, wakihakikisha kwamba Bwana Mungu ... Leer más

    $34 MXN

  • A Fiery Prophet and a People of Wook - Swahili Edition

    Mtazamo Wa Ibada Katika Maisha Na Ujumbe Wa Nabii Yeremia

    Nabii Wa Moto Na Watu Waliogeuka KuniNabii wa moto, hivyo ndivyo Yeremia alivyokuwa. Ujumbe wake ulichoma wale waliomsikia akisema. Hakuna mtu anayependa kuchomwa moto. Kwa sababu hiyo, wasikilizaji wake walitaka kumuua. Wakamtupa gerezani. Hakuwa na marafiki wengi. Hakuwahi kuoa na hakuwa na watoto wa kuendeleza jina lake. Kwa miaka arobaini, hata hivyo, alitangaza neno la Bwana kwa uaminifu kwa ... Leer más

    $34 MXN

  • The Lost Sheep - Swahili Edition: Fundisho la Fumbo la Yesu Katika Luka 15

    3-7

    Hili ni fundisho la Luka 15:3-7. Katika njia nyingi fumbo hili linahusu namna ya kuwa Mchungaji mwaminifu wa Kondoo wa Mungu.Inafunua moyo wa Bwana Yesu kwa watu wake wa Thamani ambao wamepotea nji. Ni wito kwa wote ambao watasikia mafundisho yake kuusikia moyo wa Mungu kwa ajili ya wale mbao ushirika wao na furaha vimezuiliwa. Huduma ya kurejesha kondoo kwenye ushirika si kazi rahisi. Ni kwa mtu ... Leer más

    $52 MXN

  • Not What I Expected Swahili Edition: Wakati Maisha Yasipobadilika Kama Ulivyotarajia Mafunzo Kutoka Kitabu Cha Kutoka 16

    3

    Wakati maisha yasipobadilika kama uylivyotarajia mafunzo Kotoka kitabu cha Kutoka 16:3Kama tukiwa wakweli kabisa, kwamba mara zote maisha hayajawa vile tulivyo tarajia, Kama vijana tulitarajia maisha yenye mambo makubwa na Mapenzi motomoto muda wote. Imebaki kama simulizi kwamba hayo ndo yaliyopaswa kuwa maisha yetu, uhalisia umebadili kila mpango.Taifa la Israeli pia walikuwa na mawazo yao jinsi ... Leer más

    $34 MXN

  • Someone Else's Faith - Swahili Edition

    Imani Uliyonayo Ni Ya Kwako Kabisa?

    Imani Ya Mtu WinguineJe, imani unayodai ni yako kweli?Je, unajaribu kwenda mbinguni kwa nguvu za mtu mwingine?Je, imani yako ni yako kweli au unaamini tu kile ambacho mtu mwingine alikuambia uamini?Je, unajaribu kutumia karama za kiroho za mtu mwingine?Watu wengine wanafuata Ukristo lakini hawana imani binafsi. Watu hawa huamini tu kile mtu mwingine anachowaambia kuamini. Kitabu hiki kitakupa ... Leer más

    $34 MXN

  • Wounded Hearts and Empthy Pews - Swahili Edition

    Mioyo Iliyojeruhiwa na Mabenchi Tupu Kanisani· Ni kipi husababisha watu kuyahama makanisa yao?· Je, ni haki wakati wote kulihama kanisa?· Je, mipasuko yote kanisani ni mibaya?· Utahamaje kanisa wakati kuhama inaonekana ni kitu cha lazima?· Je, utatibu namna gani kutoka mhemuko na maumivu ya kiroho ambayo kutokana na migawanyiko ya kuchukiza na isiyopendeza?Ingawa haya sio maswali rahisi kuyajibu, ... Leer más

    $34 MXN

  • If Your Brother Sins - Swahili Edition: Uchunguzi Wa Kitabu Cha Mathayo 18

    15-17

    Hatupaswi kuyatelekeza matatizo kati ya waumini kama tunavyofanya kwa watoto wetu ndani ya familia zetu. Mara kwa mara hatutakubali kuona jinsi mambo yatakavyoendeshwa. Wakati mwingine tunatenda kwa hasira na kiburi. Haiba zetu hugongana. Watu huumizwa.Maandiko yamejaa mifano mingi ya migogoro kati ya waumini.Bwana Mungu alijua kwamba jambo hili litaendelea kutokea, hivyo akatoa maelekezo ya jinsi ... Leer más

    $34 MXN

  • If My People - Swahili Edition

    Mpango wa Mungu kwa Upya na Uponyaji wa Nchi Yetu

    Katika kipindi ambacho tunaangalia mipango mipya na mbinu ya kudumisha masilahi na kusababisha makanisa yetu yakue, ni rahisi kukosa urahisi wa kile Mungu anawaambia watu wake katika vifungu hivi. Afya ya makanisa yetu na uzima wa kiroho hautegemei juu ya mbinu na mipango mipya, lakini katika kuangalia nyuma kwenye mafundisho rahisi ya neno la Mungu. 2 Nyakati 7:13-14 ni funguo katika afya ya ... Leer más

    $52 MXN

  • East of Eden - Swahili Edition: Kuishi ndani ya kivuri cha Bustani: Somo la Mwanzo 4

    16

    Kwa namna yoyote ile historia ya Kaini katika kitabu cha Mwanzo 4:16 ni historia yetu. Ni historia ya uhasi wa mtu na aliye kuwa mbali na uwepo wa Mungu. Kama tunavyo muona Kaini akiondoka katika uwepo wa Mungu inatusaidia kujua jinsi gani majaribu yetu yanatuweka mbali na ukamilifu wa baraka za Mungu . Tunatambua jinsi gani tunapambana na vivutio vya ulimwengu na mioyo yetu yenye dhambi.Kifungu ... Leer más

    $34 MXN

  • Sio Kile Nilichotarajia

    Kama tukiwa wakweli kabisa, tutakiri kwamba mara zote maisha hayajawa vile tulivyo tarajia. Kama vijana tulitarajia maisha yenye mambo makubwa na Mapenzi motomoto muda wote. Imebaka kama simulizi kwamba hayo ndo yaliyopaswa kuwa maisha yetu, uhalisia umebadili kila mpango.Taifa la Israeli pi walikuwa na mawazo yao jinsi uhuru utakavyokuwa kotoka kwenye kifungo cha Misri na shauku kubwa juu ya kile ... Leer más

    $34 MXN

  • Kama Ndugu Yako Akitenda Dhambi

    Uchunguzi wa kitabu cha Mathayo 18:15-17

    Sale price: CAD4.99Quantity:12345678910111213141516171819202122232425Hatuwezi kuepuka kabisa matatizo yanayotokea kati ya mshirika na mshirika kama inavyokuwa kati ya watoto wetu katika familia. Bwana Yesu alijua ya kuwa mgongano hauna budi kutokea ndiyo maana akatoa namna ya kukabiliana nayo katika maa... ... Leer más

    $38 MXN